trivial

adj 1 -a upuuzi, -sio na maana/ thamani, dogo. 2 -a kawaida, -a siku zote. 3 (of a person) mpurukushani. trivially adv. triviality n upuuzi, jambo dogo lisilo na maana. trivialize vt puuza, dhalilisha, toa umuhimu.