trip

vi,vt 1 tembea/kimbia/cheza dansikwa hatua nyepesi. 2 ~ (over) (something) jikwaa. ~ (somebody) (up) piga mweleka/ngwala/ngoe; (fig) babaisha mtu, kosesha. 3 ~ (out) (sl) ota ndoto/njozi (zinazotokana na madawa ya kulevya). 4 ~ a measure (arch) cheza dansi kwa hatua nyepesi za haraka. n 1 safari, matembezi. 2 kujikwaa; (fig) kosa. ~ wire n mtego wa waya ardhini. 3 (sl) njozi/ maluweluwe (yanayoto- kana na madawa ya kulevya). tripper n mtalii. tripping adj -a kurukaruka. trippingly adv.