trim
vt 1 (adjust balance) chenga/punguza; puna. 2 punguza gharama; sawazisha, nadhifisha. 3 ~ something (with something) (decorate) pamba, remba. 4 sawazisha, panga (shehena); kisi/badili matanga (kufuatana na upepo) adj nadhifu, safi, -enye utaratibu mzuri/kuwa tayari get into ~ for the competition jiweka/katika hali nzuri tayari kwa mashindano in perfect ~ katika hali nzuri kabisa. trimmer n msawazishaji, mpambaji; mpunaji. trimming n pambo. trimly adv. 5 (politics) fuata upepo; chukua msimamo wa kati/badili msimamo (ili kupendwa na watu).