trilogy

n tamthilia/riwaya/opera yenye sehemu tatu mfululizo zenye maudhui moja (ambamo kila sehemu hujitegemea).