trill

vt,vi tetemesha sauti katika kuimba, tia madoido (madende katika kuimba) n 1 mtetemo wa sauti. 2 (mus) madoido (katika kuimba). 3 (of speech/sound) kimadende.