tributary

adj 1 (of a state, ruler, etc) -a kulipa kodi (kwa nchi nyingine). 2 (of river) -a kuingia mto mwingine. n 1 (mtawala wa) nchi inayolipa kodi kwa nchi nyingine. 2 (stream) kijito. tribute n 1 ushuru, kodi (kwa nchi nyingine). pay tribute; lay a nation under tribute lipisha/toza kodi kwa nchi. 2 jambo/neno/kitendo cha kuonyesha shukrani/kusifia pay tribute to a person; shukuru; tukuza.