tribe

n 1 kabila; mbari. 2 (bot, zool) kundi (la mimea na wanyama) (kati ya jenasi na ukoosafu). 3 genge. tribal adj -a kikabila/kimbari. tribesman n jamaa katika kabila. tribalism n ukabila.