triangle

n 1 pembetatu. 2 alaya pembe tatu. 3 kundi la watatu. the eternal ~ mapenzi ya wawili kwa mmoja. triangular adj 1 -enye pembetatu, mche pembetatu. 2 -a watu/ wagombea watatu. triangulate vt gawa katika pembetatu; pima kwa pembetatu; fanya pembetatu. triangulation n kupima (kwa kutumia) pembetatu.