trestle

n egemeo (la meza, benchi, n.k. lenye matendegu matatu au manne). 2 panda/farasi ya kuwekea mbao. ~ bridge n daraja la panda. ~ table n meza panda.