treaty

n 1 mkataba. ~ port n bandari inayoruhusu bidhaa za nje kwa mkataba ~ of friendship mkataba wa urafiki. 2 mapatano, maafikiano. be in ~ with somebody for something afikiana na mtu kwa kitu.