treat
vi,vt 1 ~ (as) tendea. ~ somebody well tendea fulani vyema. 2 ~ as chukulia kama ~it as a joke chukulia kama utani. 3 shughulikia; jadili, eleza. 4 ~ (of) (formal) husu, zingatia, shughulikia. 5 (med) tibu. 6 ~ with (somebody) fanya shauri (na). 7 ~ somebody/oneself (to something) karibisha; lipia gharama; (ji) patia. 8 ~with somebody jadiliana (na), panga (na), fanya shauri (na). 9 tia, paka, chovya. n 1 (feast) karamu, sherehe. 2 fadhila. stand ~ (colloq) gharimia (takrima/sherehe). 3 (pleasure) jambo la furaha, mapendezi. treatment n utendeaji/ jinsi ya kutenda; utendewaji/jinsi ya kutendewa; (med) matibabu; utabibu be under ~ment alikwa, tibiwa.