trap

n 1 mtego, (spring) mtambo; (fig) hila, njama. 2 (bend in pipe) pinda, kuruba (la bomba la kuwekea maji kidogo ili kuzuia harufu isirudi). 3 (carriage) toroli, gari lenye magurudumu mawili (la kukokotwa na farasi). 4 trap-door n mlango wa sakafuni/darini (wa kuinuliwa juu au unaoning'inia). 5 (sl) kinywa/domo. vt tega; nasa. trapper n mtega wanyama.