transport

vt 1 safirisha, peleka. 2 (hist) (of criminals) hamishia nchi nyingine. 3 be ~ ed with (liter) pata, ingiwa jazba, hemkwa, chomwa moyo be ~ed with joy jawa/tekwa na furaha be ~ed with anger chomwa/umwa moyo kwa ghadhabu. transportable adj -a kuchukulika. n 1 uchukuzi; usafiri; upagazi. ~cafe n mkahawa wa barabarani. 2 (often pl) furaha kubwa. in a ~/in ~s of (liter) liojaa, liohemkwa/sisimkwa. in ~s of delight kwa furaha isiyosemeka. 3 (troop) ~ meli/ndege za kijeshi (za uchukuzi). transportation n 1 usafirishaji; kuchukua; uchukuzi; uhamali, upagazi. 2 uhamisho. transporter n msafirishaji; mchukuzi; chombo cha uchukuzi.