transmit

vt ~ something (to) peleka; (of disease) ambukiza. transmitter n transimita/kitu au chombo cha kupeleka ishara, sauti, n.k. 2 ruhusu, pitisha. transmission n 1 upelekaji, upitishaji; (of disease) uambukizaji; (of programmes) utangazaji. 2 klachi, gea na wenzo pamoja.