transit

n 1 kupita, kupeleka, kuchukua. in ~ njiani, safarini. goods in ~ bidhaa zinazosafirishwa. ~camp n kambi ya wasafiri/wapita njia. ~ visa n visa ya kupita. 2 njia ya sayari ipitayo katika eneo la sayari nyingine. transition n mabadiliko, mageuzi, mpito. ~ ion period n muda wa mabadiliko/mageuzi. transitional adj -a mpito/kupita/ kubadilika/kuvuka, -a muda. transitionally adv. transitory adj -a kupita, -a kitambo, -a muda mfupi tu, siodumu.