transcend

vt vuka mipaka; pita/zidi sana (uwezo wa binadamu); fanya miujiza. transcendental adj 1 -a kupita uwezo wa binadamu, a ruiya/njozi. 2 (colloq) vungivu. transcendentally adv. transcendentalism n unjozi: imani kwamba maarifa hutokana na kuchunguza shughuli ndani ya ubongo, licha ya tajriba, mazoea n.k.. ~ entalist n mruiya.