tranquil

adj tulivu, -a raha, -anana; (sea) shwari. ~ ly adv. tranquility n utulivu political ~ity amani. ~ lize vt,vi poza, tuliza maumivu (mara nyingi kwa dawa); tulia, poa. ~ lizer n kitulizaji/kitulizo, dawa ya kutuliza.