tragedy

n 1 (mchezo wa) tanzia. 2 (disaster) msiba; sikitiko; tanzia; jambo liletalo huzuni. tragedian n 1 mwandishi wa (michezo ya) tanzia. 2 mchezo tanzia. tragedienne n mwanamke mcheza tanzia. tragic adj -a tanzia; -a msiba; -a huzuni, -a majonzi. tragicomedy n tanzia-ramsa. tragicomic (al) adj -a tanzia-ramsa. tragically adv.