track

n 1 alama (za nyayo, gari, n.k.); mkokoto, mburuzo uachwao na magari, watu, wanyama, n.k. be on somebody's ~/on the ~ of somebody fuata/saka mtu fulani. cover up one's ~ s ficha nyendo/shughuli zako. have a one ~ mind fuata/shikilia mtazamo mmoja. keep/lose ~ of somebody/something fuatia/shindwa kufuatia (mtu/kitu). make ~ (colloq) ondoka; kimbia. make ~ s for (colloq) elekea, ongoza in one's ~ (sl) papo, mahali mtu asimamapo. off the ~ (fig) mbali na makusudio, nje ya mada; (fuata) njia potovu. 2 reli za garimoshi the train left the ~ s garimoshi limeacha njia. on/from the wrong side of the ~ (US) (toka) upande wa watu wa chini katika jamii. 3 uwanja wa mbio za miguu/ magari/baiskeli, n.k.. ~ suit n suti ya ridhaa. 4 minyororo (ya matrekta au vifaru vya jeshi inayotumika badala ya magurudumu). vt 1 fuatia (njia, mkondo, nyayo, mkokoto). ~ing station n kituo kinachoongoza vyombo vya angani. ~somebody/ something down kamata, fuma. ~ out fuatilia. 2 (sinema, TV) zungusha kamera huko na huko ili kupiga picha. ~ and field adj -enye njia za kupitia; -a aina zote za riadha. tracker n mwindaji. ~erdog n mbwa mfuatiaji/anayefuatilia wahalifu. tracklayer n mtandika reli. tracklaying n kazi ya kutandika reli. ~ man n mwanariadha/mbio. ~ way n (of train) reli.