trace

trace

1 n dalili; alama; (track) nyayo; (of thing crawling) utambazi; (of thing dragged) mkokoto, maburuzo, mburuzo. 2 kiasi kidogo sana, chembe without a ~ of pity bila huruma hata kidogo. vt,vi 1 ~ something (out) chora, fuata nyayo/alama. 2 (copy) fuatisha, nakili (kwa kutumia karatasi angavu). ~ a line fuatisha mstari. 3 andika polepole/kwa shida. 4 fuata/gundua (mtu/kitu) kwa kutumia alama, nyayo na vidokezo vingine. ~ (something/somebody) back to something) tafuta/pata asili ya kitu kwa kuangalia miaka ya nyuma; tafuta asili ya kitu kwa kutumia ushahidi kutokana na. 5 gundua mahali au ukubwa wa kitu kutokana na mabaki yake. ~ able adj -a kuonekana/kutafutika/kufuatilika. tracer n 1 mfuatiliaji, mtafutaji. 2 mfuatishaji, mnakilishi. 3 chombo cha kunakilia. 4 (often ~ r bullet/shell) risasi/kombora linalosafiri kwa kuacha moto/moshi nyuma. ~r element n elementi katiti. tracing kunakili. tracing paper n karatasi ya kunakilia.

trace

2 n hatamu. kick over the ~s (fig) goma; asi; kosa nidhamu.