toy

n mwanasesere; kidude/kitu cha kuchezea watoto. ~trade n biashara ya vitu vya kuchezea watoto. vi chezea; chezacheza na. ~ with something chezacheza na kitu fulani.