toxic

adj -a sumu. toxicity n kiwango cha kusumisha. toxicology n elimu juu ya asili na athari za sumu. toxicological adj -a kuhusu sumu au taaluma ya sumu toxin n sumu; toksini. toxaemia (also tox-emia) n kusumu damu.