tower
n 1 mnara. 2 (fig) a ~ of strength mtu wa kutegemewa wakati wa matatizo. 3 water ~ n mnara wa tangi la maji. ~ block n jengo lenye ghorofa nyingi vi enda juu sana. ~above somebody (fig, of eminent persons) pita sana kwa uwezo, akili au maadili. ~ ing adj (esp) in a ~ ing range -enye hasira kali.