tough

adj 1 (of meat, material) gumu. 2 (of material/thing) siotatuka/ katika/zeeka kwa urahisi. 3 thabiti, stahamilivu. 4 (of persons) mbabe; mjeuri; katili. ~ customer n (colloq) fidhuli, mkorofi. 5 korofi; -enye kiburi; sugu. be/get ~ (with somebody) shupalia (jambo). 6 gumu kutekelezwa ~ job kazi ngumu. 7 ~luck n (colloq) mkosi, bahati mbaya n (also toughie) (colloq) mjeuri; mbabe. toughly adj toughness n. ~en vt,vi imarisha, shupaza; shupaa.