totem

n 1 mnyama; kizimu: kitu kiwakilishi cha uungu/mizimu. 2 sanamu/ishara za mungu/mzimu. totemism n imani ya tambiko, utambikaji; usira. ~pole n mti wa mzimu.