toss

vt,vi 1 rusha (juu), tupa. ~ something a side tupa (kitu) pembeni. ~(up) a coin; toss (somebody) for something; ~ up rusha sarafu hewani (kwa kupiga kura). ~ -up n urushaji wa sarafu (ili kupiga kura), bahati nasibu. 2 sukasuka, tikisika, gaagaa, furukuta the sick child ~ ed about in its sleep mtoto mgonjwa aligaagaa usingizini. 3 ~ something off nywa -ote; toa/zalisha kitu harakaharaka bila taabu/juhudi. n 1 urushaji a contemptuous ~ of the head mdekuo take a ~ tupwa na farasi. 2 win/lose the ~ bahatisha/kosa mtupo. tosser n mrushaji.