torrent

n mvo, mfoko/mbubujiko wa nguvu (hasa wa maji). a ~ of abuse mbubujiko (wa matusi/maneno). torrential adj -ingi sana na -enye nguvu nyingi ~ial rain mvua nyingi.