torment

n (pain) maumivu makali, mateso, uchungu; maudhi. vt 1 tesa, tia maumivu makali; tia uchungu, umiza vibaya, udhi ~ed with hunger teseka kwa njaa. 2 (worry) sumbua, udhi, hangaisha, tia wasiwasi don't ~ him with stupid questions usimsumbue na maswali ya kipumbavu. tormentor n msumbufu.