tooth

n 1 jino; (incisor) jino la mbele; (molar) gego, chego. eye ~ n chonge. false ~. jino bandia go to have a ~ out enda kung'oa jino. armed to the teeth -enye silaha nyingi; -enye ulinzi mkali. cast something in a person's teeth karipia, gombeza mtu. escape by the skin of one's teeth ponea chupuchupu. fight ~ and nail pigana kufa na kupona. get one's teeth into something fanya kazi kwa bidii. lie in one's teeth/throat danganya bila aibu. long in the ~ zee. show one's teeth tishia, ogofya. have a sweet ~ penda vyakula vitamu. in the teeth of dhidi ya/kwa kukabiliana na. toothache n maumivu ya jino. tooth-brush n mswaki. ~ paste/powder n dawa ya meno. ~ pick n kimbaka, kichokoa meno. 2 kitu mfano wa jino. fine-~ comb n chanuo/kitana chenye meno ya karibukaribu. go over/through something with a fine-~ comb chambua kitu kwa makini. 3 (pl coloq) nguvu. toothed adj (attrib) -enye meno. toothless adj kibogoyo, -sio na meno. toothsome adj (liter) (of food) tamu; -a kuchapukia.