tool

n 1 chombo; kifaa, ala, zana a badworkman always blames his ~s mchagua jembe si mkulima. ~-bag n mkoba wa vifaa (vya ufundi). ~-box n kisanduku cha vifaa. ~-holder n kipingo cha ala. 2 karagosi, kibaraka. vt 1 nakshi (ncha za jalada la kitabu) kwa kifaa cha moto. 2 ~up weka vifaa vya kazi katika kiwanda.