tongue

n 1 ulimi. find one's ~ wezakusema (baada ya kuondokana na aibu). have/say something with/speak with one's ~ in one's cheek geresha, fanya utani. lose one's ~ kaukiwa; vuta ulimi; ona aibu kuzungumza. have a ready ~ -wa fasaha, -mwepesi kujibu. hold one's ~ nyamaza. keep a civil ~ in one's head -wa na adabu; tokuwa jasiri. tongue-tied adj nyamavu, bubu. ~-twister n neno gumu (kutamka). 2 lugha. one's mother ~ lugha asili (ya mtu); lugha ya kwanza. 3 nyama ya ulimi ham and ~ sandwiches sandiwichi ya hemu na nyama ya ulimi. 4 (of land) rasi. tongued adj (in compounds) -enye ulimi a sharp ~d women mwanamke mwenye ulimi wa upanga.