tone

n 1 (sound) sauti; toni: namna ya tabia ya sauti in angry ~s kwa sauti ya hasira. tone-deaf adj sioweza kutofautisha toni. ~-poem n muziki wa kuashiria wazo la kishairi au kisa fulani. 2 (manner, style) tabia, hali, mwelekeo the ~ of the school is good tabia ya shule ni nzuri. 3 kupanda na kushuka kwa sauti. 4 (of colour) kiwango cha rangi. 5 siha nzuri ya viungo vya mwili good, muscular ~ maungo mazuri. toned adj -enye toni/sauti fulani. toneless adj -sio na rangi/moyo hai; baridi. tonelessly adv. tonal adj -a toni; -a sauti. tonality n (mus) mpangilio wa sauti/muziki kufuatana na ufunguo, n.k.. vt,vi 1 ~ (something down) pungua; tuliza, zimua the crowd soon ~d down umati wa watu ulitulia upesi. ~ (something) up zidisha rangi; ongeza nguvu; sisimua. 2 ~ in (with) (colours) chukuana the colour ~s well with the others rangi hii inachukuana vizuri na nyingine. 3 toa/geuza toni/sauti; geuza rangi.