ton

n 1 tani: kilo 1,000; (of a ship) shehena ya ujazo futi 40 za mraba. 2 the ~ n (sl) kasi ya maili 100 kwa saa. vi ~ up endesha kwa kasi kubwa katika mashindano ya pikipiki. 3 (colloq) tele, chungu mzima he is worth a ~s ~ of money yeye ni tajiri kabisa ~s of wingi wa ~ s of people watu chungu nzima. tonnage n 1 ukubwa wa ngama. 2 uwezo wa kusheheni. 3 jumla ya ukubwa wa ngama kwa meli za nchi moja. 4 gharama za usafirishaji kwa tani moja ya shehena.