toll

toll

1 vt,vi piga/lia polepole (kwa mapigo/sauti ya kurudiarudia) ~ somebody's death piga kengele kuashiria kifo cha fulani. n mlio wa kengele (inayopigwa pigo moja moja polepole).

toll

2 n 1 ushuru, kodi, ada (agh ya kivuko, barabara, bandari). ~-bar n mlangoni pa kulipia kodi; ada, n.k. toll-house n nyumba ya watoza kodi. 2 (fig) maafa, gharama/hasara ya vifo vingi. 3 ~ call n simu ya gharama kubwa kuliko simu za kawaida; simu ya mbali.