token

n 1 (sign) dalili, ishara, alama a white flag is a ~ of surrender bendera nyeupe ni alama ya ushinde. in ~ of kama ushahidi/ishara. gift ~ n zawadi. 2 (attrib) kianzio, chanzo, chambele. ~ payment n malipo ya mwanzo/kianzio. ~ strike n mgomo wa kutishia/wa muda mfupi. ~ vote n kura ya bunge ya kukubali matumizi ya fedha za kianzio.