toilet

n 1 choo, msala. ~-paper; ~-rol n karatasi (laini) ya chooni. 2 (attrib) a ~ set jumla ya vifaa vyote vya kujipambia. ~-powder n poda. ~-table n meza ya vipodozi yenye kioo. 3 kunawa na kuvaa (nguo, n.k.); kujikwatua make one's ~ vaa, valia.