toil

n kazi; kazi ya taabu, kazi ya sulubu. vi ~ at fanya kazi kwa bidii/kwa taabu sana/muda mrefu; jikokota; (go painfully) enda kwa taabu, jikokota; ~ up a hill jikongoja katika kilima. toiler n mvuja jasho. toilsome adj -a sulubu.