together

adv 1 pamoja ote, they went ~ walikwenda pamoja fight ~ pigana meet ~ kutana talk ~ semezana. ~ with pamoja na. be ~ -wa pamoja. get something/it ~ (sl) panga; (ji) kusanya, dhibiti. put your/our etc, heads ~ shauriana; jadiliana. 2 kwa wakati mmoja the troubles came ~ matatizo yalianza kwa wakati mmoja/mfululizo he was absent for a week ~ hakuwepo kwa wiki mfululizo. togetherness n umoja, udugu, mshikamano.