toe

n 1 kidole cha mguu. from top to~ toka utosini hadi kidoleni; kamilifu. step/tread on somebody's ~ (fig) umbua mtu. on one's ~ (fig) -wa macho. ~-cap n sehemu ya juu ya kiatu inayofunika vidole (agh. buti). ~-hold n kidato wasiwasi. ~ nail n ukucha wa kidole cha mguu. 2 sehemu ya mbele ya soksi/kiatu (inayofunika vidole) vi gusa kwa vidole. ~ the line (of a race) gusa mstari wa kuanzia mbio kwa vidole; (fig) fuata, tii masharti ya chama.