today

n, adv 1 leo, leo hivi, siku hii a week ~ baada ya wiki moja kuanzia leo. 2 (the present time) siku hizi the young men of ~ vijana wa siku hizi.