title

n 1 (address) anwani. 2 jina (la heshima), cheo. 3 kichwa (cha makala, n.k.). ~page n ukurasa (wa kwanza) wenye jina la kitabu na mwandishi. ~role n jina la mhusika ambalo pia ni jina la tamthilia (k.m. Kinjekitile, Hamlet). 4 (claim, right) haki, miliki. ~ to something/to do something (leg) haki (ya kudai/kumiliki kitu). ~deed n hati ya kumiliki. 5 credit ~n (credits) majina ya wasanii wa sinema/TV, n.k. titled adj -enye cheo/jina/anwani. titled adj -enye jina la heshima (k.m. Sir, Lord, etc).