tiple

adj -a sehemu tatu vt,vi fanya, -wa mara tatu ya.. au zaidi. tiplet n 1 (pl) pacha (tatu). 2 seti ya vitu vitatu. ~x adj -a tabaka tatu; -a mara tatu. ~x (glass) n kioo cha tabaka tatu. triplicate vt fanya nakala tatu. in triplicate nakala tatu.