timber

n 1 mbao ~ merchants wafanyabiashara wa mbao dressed ~ mbao zilizo tayari kwa matumizi. 2 (also standing ~) miti put fifty acres of land under ~ panda miti (ya mbao) ekari hamsini. 3 boriti. 4 (in fox hunting) uzio na lango (la miti). timbered adj -liojengwa/ tengenezwa kwa mbao.