tilt

vt,vi 1 inamisha, laza upande; inama, lala upande don't ~ the barrel usiinamishe pipa/kasiki. 2 ~ (at) (hist) (of men on horseback) pigana kwa farasi na mikuki mirefu;(fig) shambulia kwa maandishi/maneno. ~ at windmills pigana na maadui wa kubuni/wa kufikirika. n 1 mwinamo. 2 kupigana kwa farasi na mikuki mirefu. have a ~ at somebody (fig) shambulia/lima (mtu) (kirafiki) katika majadiliano. (at) full ~ kwa kasi; kwa nguvu nyingi. tilt-yard n kiwanja cha mazoezi ya kupigana kwa farasi.