till
till
1 n kikasha/mtoto wa meza he was caught with his hand in the ~ alishikwa wizi.till
2 conj,prep hata; mpaka, hadi she waited ~ I came alisubiri mpaka nilipofika.till
3 vt lima. tillage n ukulima, ulimaji, ukatuzi; ardhi iliyolimwa, ucheu. tiller n mkulima, mlimaji. tillable adj-a kulimika.