tight
adj 1 liokazwa, -liobana, -lio fungwa vizuri. tight-lipped adj -a kubana midomo; kimya, -a maneno machache; (fig) -enye uso mkali. 2 liounganishwa vizuri. water ~ adj siovuja maji. air ~ adj siopitisha hewa. 3 lionyooshwa sana, liokaza sana, liowamba. 4 (of money) adimu, gumu kupata. 5 tight-fisted adj -enye choyo, bahili, -nyimivu. tightwad n (sl) bahili. 6 (of clothing, etc) -enye kubana, -a kufinya a ~ corner jambo lenye hatari (shida, dhiki) ~ schedule ratiba iliyojaa mishughuliko mingi ~squeeze msongamano mkubwa. 7 (colloq) liolewa, levi. tightly adv kikiki, kwa kukaza. tightness n kukaza, kubana. tighten vt,v kaza, bana. ~en the rope kaza kamba. ~en one's belt bana matumizi, bania. tights n 1 soksi ndefu (za wanawake) za kubana. 2 taiti; nguo zinazobana mwili mzima (zinazovaliwa na wanasarakasi).