tie

vt,vi 1 funga, boba ~ up a parcelfunga kifurushi. ~ somebody down nyima mtu uhuru, bana, zuia. ~ somebody down to something bana mtu kwa masharti. ~ oneself down to something kubali mipaka ya uhuru wako, jibana. ~ (something) in with something unganisha, husisha. ~ something up (of capital) tenga, changia; wekea masharti; be/get ~d up with something/somebody banwa na kitu/mtu; husishwa, husiana. ~ up n mwungano, bia. 2 ~ something (on) fungia kwa. tie-on attrib adj kipande (cha anwani). 3 piga fundo. 4 fungiwa does this sash ~ infront or at the back? mshipi huu unafungiwa mbele au nyuma? 5 ~ (with) (for) (of players, teams, candidates in competitive exams) fungana, enda sare/suluhu. n 1 kifungo, kiungo, fundo; (US) taruma the ~ of friendship mshikamano wa kirafiki. 2 (necktie) tai. 3 (in games, etc) sare; suluhu. 4 (music) tao (linalounganisha noti za sauti moja). 5 kizuizi, kipingamizi.