tidy

adj 1 nadhifu, safi, liopangwa vizuri. 2 (colloq) kubwa/ingi kiasi ~ sum of money kiasi kikubwa cha fedha cost a ~ penny gharimu fedha nyingi n chombo/kibweta/kijaluba cha kuwekea mabaki ya jikoni/cha vikorokoro vya chumbani. vt,vi ~ (up) panga vizuri I must ~ myself sina budi kujinadhifisha. tidily adv. tidiness n unadhifu, utanashati, usafi, ufuauji.