tide

n 1 maji kujaa na kupwa. high/flood ~ n (maximum) bamvua. low/neap~ n maji kupwa, maji mafu. spring ~ n bamvua kubwa. ~ mark n alama ya maji kupwa na kujaa. ~-way n mkondo wa bahari. 2 mwelekeo, mkondo. 3 (old use) wakati/msimu (in compound) Easter-~ n wakati wa Pasaka. vt ~ somebody over (something) vusha/ kwamua mtu kutokana na matatizo fulani. tidal adj -a maji kupwa na kujaa; -enye maji kupwa na kujaa tidal flats jangwa tidal movements maji mkimbizi. tidal wave n kabobo.