thumb
n kidole (cha) gumba. ~(one's fingers); be all ~s; have ten ~s -tokuwa stadi/hodari; wa mzito sana. rule of ~ kanuni (zitokanazo na) mazoea, desturi. under somebody's ~ of chini ya, katika twaa ya. ~ up/down hongera; pole/hiloo, zii. ~-latch n kitasa cha kuminya kwa kidole. thumb-mark n alama ya dole gumba. ~ nail n ukucha wa dole gumba. ~ nail sketch n muhtasari, picha/mchoro mdogo. ~ screw n skurubu inayoweza kufunguliwa kwa urahisi/kwa gumba; chombo cha zamani kilichotumika kutesea watu kilichominya magumba. thumb-stall n bandeji, kinga ya gumba jeruhi. ~-tack n mshikizo mkubwa; (US) pini. vt chafua kwa kugeuzageuza; geuza (kurasa). ~ a lift omba lifti barabarani. ~ one's nose at beza.